MATUMBO JOTO KUELEKEA DARBY YA KARIAKOO
MICHEZO
Published on 02/10/2024

Simba na Yanga zinavaana kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Bara  Oktoba 19 ikiwa ni mechi ambayo inasubiriwa kwa hamu kubwa baada ya timu hizo kukutana kwenye mchezo wa nusu fainali wa Ngao ya Jamii na Simba kupoteza kwa bao 1-0, Agosti mwaka huu

Comments
Comment sent successfully!