SIMBA WAPO TAYARI KUIVAA AL AHLI TRIPOLI
MICHEZO
Published on 14/09/2024

Muktasari:

  • Kitu cha kuvutia ni Simba imetua Libya bila kukutana na figisu zozote kwa mujibu wa Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ahmed Ally, huku kikosi kikiwa kamili baada ya nyota waliokuwa timu za taifa kuwahi mapema kwa ajili ya mchezo huo utakaopigwa kesho Jumapili Uwanja wa wa Juni 11, jijini Tripoli.
Comments
Comment sent successfully!