SPORT'S CORNER YA UTUKUFU FM, YAANZA RASMI KUCHAMBUA SOKA
MICHEZO
Published on 31/07/2024

Sasa kipindi cha michezo Kimeanza kuruka rasmi kwenye Kituo chetu cha Utukufu Fm, Fatilia Taarifa zote za Michezo ya Ndani na nje kupitia Utukufu Fm, Ukutane na uchambuzi wa Kina kuhusiana na michezo kutoka kwa Waandishi mahiri wa Michezo, Unaweza kusikilia kupitia @www.utukufufm.com na https://onlineradiobox.com/tz/utukufu/?cs=tz.utukufu, lakini pia unaweza ku download application ya Utukufu Fm, kupitia Google playstore, Google App store IOS, Web App
@Sport's Corner ya Utukufu FM, By Sports Lady Royal Queen, & Motivator Alphonce 

See less
Comments
Comment sent successfully!