MABADILIKO YA JINA LA KITUO
HABARI
Published on 22/07/2024

Mabadiliko ya Jina la Kituo chetu, Kutoka Utukufu Online Fm, Mpaka UTUKUFU FM, Haya ni matokeo ya maboresho ambayo yamefanywa katika kituo chetu ili kuweza kukidhi matakwa ya wasikilizaji wetu, hivyo endelea kutufatilia kupitia Website yetu ya www.utukufufm.com, na mitandao yote yya kijamii. lakini pia unaweza kufatilia radio yetu kupitia application yetu, ambayo tayari sasa ipo katika Mfumo wa Google Play store, na Google App store, lakini pia Web app IOS na PC. Ili uendelee kuburudika na kitua chetu ambacho kinahubiri Injili isiyogoshiwa.

Comments
Comment sent successfully!