SASA OFA YA KUTOA MATANGAZO IMEANZA
Start 12/09/2024 at 00:05
End 31/12/2024 at 23:55
Local ULONGONI B- DAR ES SALAAM TANZANIA
Click to enable the map

Kwa kutambua umuhimu wa kutumia media katika kukuza biashara na kuongeza mapato,  kwenye Biashara yako, Kituo cha utangazaji cha Utukufu Fm kimetoa Ofa kabambe ya Kutangaza Biashara yako kwa ubunifu mkubwa na weledi wa hali ya juu ili kuwavutia wasikilizaji na Kuweza kutengeneza Wigo mkubwa wa Biashara ulimwenguni kote, Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia

+255 763481234 /0654520154  /0625361952