UTUKUFU FM YAANZA HUDUMA YA KURUSHA MATANGAZO LIVE KWENYE MIKUTANO NA MAKANISA
News
Published on 30/08/2024

Katika kutekeleza agizo la Bwana wetu Yesu Kristo la Kwenda ulimwenguni kote kuihubiri habari njema, Kituo cha habari cha utukufu Fm, kimeanza huduma maalumu ya kurusha matangazo ya moja kwa moja kwenye Makanisa mbali mbali na mikutano yote, Ndani na nje ya Nchi ya Tanzania ili kuhakikisha tunawafikia ma milioni ya watu ulimwenguni kote, kwa maelezo zaidi wasiliana na idara ya masoko ya Utukufu fm, kwa Namba zifuatazo

+255763481234

+255768752717

E-mail:fpctulongonibchurch@gmail.com

Comments
Comment sent successfully!