Choir ya Ebnezer Yaomba Wadau Kuwa support kwa ajili ya kufanya shooting
News
Published on 30/08/2024

Choir ya wakina mama ya Ebnezer kutoka kanisa la FPCT Parish ya Gongolamboto, Katika mahojiano waliyo yafanya na Mwandishi wetu Jana katika studio za Utukufu Fm, walipokuwa wakitambulisha nyimbo zao, Walisema kuwa moja kati ya changamoto wanazokutana nazo katika Huduma yao ya uimbaji ni Uwezo wa kufanya shooting ya nyimbo zao ambazo tayari wameshaziandaa, kwasababu ya hali duni ya uchumi wa choir hiyo hivyo wameomba msaada kwa wadau wote wa Nyimbo za injili na wote watakao guswa na Huduma hiyo ili waweze kuwachangia kupata uwezo wa kufanya shooting ya nyimbo zao, alisema Mwenyekiti wa Choir Hiyo.

Comments
Comment sent successfully!