MCHUNGAJI KANISA LA FPCT ULONGONI B AOMBA MCHANGO WA KUMALIZIA JENGO LA KUABUDIA
News
Published on 12/08/2024

Mchungaji wa Kanisa la Fpct Ulongoni B (Katikati), Sebastian Msafiri Wandama Ameomba Wadau wote wa injili kuweza kuchangia katika mchango wa kumalizia Jengo la Ibada linalojengwa kanisani hapo, Mchungaji Wandama ameyasema hayo katika Ibada ya juma pili hii alipokuwa akiwaomba washirika wote wanao sali kanisani hapo na Watu wote wanaopenda kumtumikia Mungu waweze kusaidia katika Mchango wa kumalizia jengo na Kutengeneza Madhabahu ya MUngu Kanisani Hapo.

Comments
Comment sent successfully!